*NIMEKOMA MIMI 🙌* *19&20* Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop

*NIMEKOMA MIMI 🙌*  *19&20*  Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop

ananipenda kwell, anantreat vizuri, ananipa kila kitu ninachotaka. Kila akiwa free, ananipeleka out, tunajirusha kama hakuna kesho Tullishi maisha ya furaha kabisa. Allturna pesa kwa wazazi wangu kama alivyoahidi Akanirudishia na simu yangu, na pia akaruhusu niwe natoka na Lily mara moja moja japo kura mda alikua ananipeleka mwenyewe sababu ya Kila kitu killenda vizuri la tatizo ni aina ya kazi yake. Hiyo kazi yake ilikuwa inanipa stress Kola usku wakati yeye na watu wake wanatoka, nilikua sina amani kabisa Sababu nilihofia asije akakamatwa au maadui zake wakamfanyia kitu kibaya. Nikawa naogopa anapoondoka, na akirudi salarna ndio napumua Sasa basi,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments