
( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) π Aiwezekani kuolewa mimi unataka kuolewa wewe... " Dah yani....π Neno liliniuma Sana mpaka simu ilitaka kudondoka kwa mtetemo niliopata, Alafu rafiki yangu alikata simu kule, Sasa rafiki aliyenipa taharifa ananiuliza, " Kulikoni ndugu yangu unasema ndoa aiwezekani na muonekano wako umebadirika?. " Nilimwambia yote pale ya yule rafiki yangu alinishauri nimfile mke mdogo na alinishauri nikampe taraka mke wangu. " Yule rafiki yangu akasema, " Wewe umesahau neno usimwamini kila mtu ata sukari inafanana na chumvi, Chengine kwa hili swala lako la ufiraji si zuri Apendezewi shetani ata Mungu anachukizwa, Nasema
0 Comments