
Kila mtu alinielewa hata D, tulifanya mipango yetu kimya kimya hakuna kutoka D pekee ndie alitoka na kuludi kwa njia za panya, alikuwa na vijana wa siri sana aliowalea yeye mwenyewe, aliwaficha na sasa alitaka kuwatumia kwa ajili ya ulinzi... Siku moja D aliludi nyumbani akiwa na jeraha, la risasi, kila mtu alipata hofu, D ivi huwezi kutulia bila kutoka kwa muda kidogo? Darian; unahifu juu yangu? Vipi umeanza kunpenda.... Sikumjibu kitu, nilimhudumia tu kimya kimya, nilifanya mizungukk mingi nikajikuta napata kizunguzungu, nikaanguka, ila sikuzima,D alinidaka nakuniuliza, unaumwa na husemi? Amna D niko sawa ni kizunguzungu tu, D akaenda kumwambia
0 Comments