SALMA WA MTAA WA SABA* *________________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

SALMA WA MTAA WA SABA* *________________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Walifika kwenye sherehe Fariss alisimama pembeni. " Nitakua hapa naomba uwe na nidhamu pia ninakupa saa moja ya kufurahia baada ya hapo urudi hapa tuondoke la sivyo nitaingia hapo katikati kukuchomoa kwa nguvu. Salma alitabasamu " Haina haja hata ya kutumia nguvu baba la baba nitakuja mwenyewe najua hutakiwi kukasirika sababu ya hili. Waliagana kwa mabusu kisha Salma aliingia kucheza. Sherehe ilikuwa imeshika kasi. Muziki wa singeli ulichanganywa na midundo na watu walicheza kwa raha, na vinywaji vilimwagika . Salma alicheza kistaarabu sana hakutaka kusogelea na mwanaume yoyote alikuwa mkali sana pindi mwanaume alipotaka kumgusa. Kijana mmoja akasema. " Kwahiyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments