NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS EP 9.

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS  EP 9.

Darian; we mwanamke unapenda maswali😏, nafanya hivi kwa usalama wako zaidi, ndio maana sikutaka mazoea na wanawake kabisa , matokeo yake ndio haya sasa, sijui imekuwaje nimekwama kwenye mtego wako, ila nakuahidi huu mtego wako tutazama wote, kama ni ushindi tutashinga pamoja... Unachotakiwa sasa hivi, nikunisikiliza mimi peke yangu, haya ni maisha yangu mimi na wewe, hupaswi kumhusisha yeyote, labda kama huyo mtu anaweza kukusaidia kuingiza mhogo kwenye kitumbua chako, mtu ambae unaweza kubali tukafanya yakwetu mbele yake, huyo mtu kama yupo huyo pekee ndie utamwambia,... Sikujibu chochote, niliamua kukaa tu kimya, nikimtizama tu, mkaka mzuli ila sasa akili zake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments