KATIKATI YA CHUMBA CHANGU KULIKUWA NA KABURI SEHEMU YA 13

KATIKATI YA CHUMBA CHANGU KULIKUWA NA KABURI  SEHEMU YA 13

............. Weka kwanza Like hapa....... Usiku huu ulikuwa mrefu sana maana niliwaza kupindukia, kichwa changu kilikuwa na maswali ambayo yalinifanya nikose usingizi. Kila nilipowaza wapi nimekosa sikuona? Suala la kujiua mimi mwenyewe hapo ndipo palikuwa na kikwazo kabisa, hapa ndipo palikuwa pakinichanganya kichwa na kunifanya niwaze mara mbili mbili. Nakumbuka nilikaa kwenye kioo kwa zaidi ya masaa mawili yaani kutoka saa 9 hadi saa 11 alfajiri bado nilikuwa naona sura yangu kwa nyuma, hii ikazidi kunichanganya sana. Nikiwa mahala hapa pua yangu ilinusa harufu mpya, harufu hii ilikuwa ya ubani ambao ulikuwa unachomwa. Nikataka kujua ni wapi harufu ilikuwa inatoka,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments