
Alijibu "Unaweza kwenda itakufuata " jibu hilo lilinishtua nikasoma mara mbili mbili na kumtumia ujumbe " Selim naomba urudi nyumbani tuongee mume wangu". Ujumbe ulipokelewa ila hakujibu zaidi ya kuni bleutic na kukaa kimya ,siku ile nililia jamani nililia mpaka nikaa kiwa natetekeka sasa sijui kwasababu ya kulia sana nilianza kupata kizunguzungu na kichwa kuuma sana , nilijitahidi kuinuka ili nipande kitandani ila nilidondoka na kupoteza fahamu. Nilikuja kuamka nikiwa hospital nikakuta Jabir ndio yupo pembeni yangu, alivyoona nimeamka akaniuliza ninavyojisikia. Nilijibu niko sawa na kumuuliza kwann niko hapo, kabla hajajibu akaingia doctor na kuniangalia akaniuliza najisikiaje nilijibu kuwa niko
0 Comments