
Bryan alikubaliana na maoni ya marafiki zake alitulia akiwa anasubiri mipango yao wanayopanga. Siku moja Bryan alikuwa yupo kwenye safari zake na dereva wake walipita sehemu akamuona Maria akiwa kabeba beseni kichwani. " Hebu simamisha gari. Dereva alisimamisha gari Bryan alishuka na kuanza kumfuatilia Maria . " Maria, Maria.... Bryan aliita Maria aligeuka alipomuona Bryan moyo wake ulishituka alitamani kukimbia lakini akasimama . Alipomkaribia karibu Maria akamwambua " Kwani bado Mimi na wewe tunadaiana? " Hapana.... " Sasa mbona tunafuatana Kama tulishamalizana? " Kwahiyo Ni vibaya hata kusalimiana? Maria aliona ajabu hakutegemea Kama Bryan amebadilika kiasi kile. " Unajua siamini
0 Comments