NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 43

NIPE YOTE DADY  SEHEMU YA 43

Niliendesha mpaka nyumbani nikakuta baba na mama wakiwa wamekaa huku wakiangalia tv , nilisalimia na kuuliza "Mama wanangu wako wapi?" mama alikaa vizur na kusema "watoto ? kwani wako huku!?"" "Sijui nimeambiwa kuwa Nasra amekuja kuwachukua nikahisi watakuwa huku" "Mh hapana hawapo huku na Nasra alitoka na mtoto toka asubuhi "nilivyosikia hivyo sikutaka mambo mengi nikageuka na kuondoka . Nikiwa njiani nikampigia Selim hakupokea tena nikaona nipige ofisin kwake nikaambiwa hayupo ,aisee kichwa kilipata moto Nikaona hapa nirudi nyumbani maana sijui wameenda wapi, basi nilirudi nyumbani nikaingia ndani na kupika chakula kisha nikaoga na kukaa kusubiri. Saa tatu na nusu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments