*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha

tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu nikijua. Leo naenda kusema ukweli na kama kunyesha inyeshe tuu ila leo niliapa naenda kusema ukweli kwa maelezo alionipa babaa ni kweli nampenda sana Boss na sina jinsi, ila baba yangu ni kama wale wababa wa kihindi mjue, nampenda snaa huwa hanifokeii bali anaanmbia ukweli wa mambo yanavyoenda wazazi kama hawa Tanzania ni wachache sana na mmoja ni huyu wa kwangu Nilienda officine sasa tukiwa tumekaa officine maaan kwa sasa office yangu ipo kwa boss alikuja mmama mmoja officine alitukuta mimi na boss ila kila mtu yupo busy "Habari zenu wanangu" alisema huku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments