
cha kazi hakijaenda sawa?" Nilimkumbatiaa huku naliaa kweli "boss wewe unajuaa kabisa mimi nakupenda saa kwanini unakuwa unaruhusu watu wengine wakusogelee wakawambie mbele yangu wanakupenda na wanakutaka ujue mimi inaniumiza kiasi gani mimi nakupenda ujuee" alinitizama tu akawa ananishangaa maan mimi huyu huyu nilimwambiaa simpendii leo nakuja kusema nampenda "yaani wewe ndio mwanaume wangu wa kwanza afu unatka kuniacha hapa uendee ukaongee na huyo mjinga asiejielewa mwnamke mwenye mambo mengi mimi simpendi kwanza mtu mwenyew mbaya simpendi hata kidogo "Lini umegundua kama una nipenda Angel?"aliniuliza kwa upande wangu nilikuwa naona kama ananichanganya hivii, maan hapa nikikaa kibubu hivi hivi Wallah
0 Comments