*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII*      *Chapter 14&15*  Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea

utadhani chizi kaona bia mpya, alikaa huko sijui waliongea kitu gani mimi na imagination yangu nipo busy naendelea kuimagine jinsi nitakavyokuwa najishongondoaa hukoo uwil mama misifa miee full kuimagine hapo ambae angeniona angekufa kwa kucheka haki ya Mungu mara nashangaa mama anaingia ndani "We mjinga mwenzako anakusubiri hukoo nje haya wewe hata hujajiandaa utaenda kuchagua hivyoo vitu umevaa hivyoo hebu wahi mjinga wewe, ila wewe mhhh haya inukaa lione zembe kwel" nilichukiaa yaani ananiambia hivyoo wakati mimi hapayeye kaniumiza ndio kafanya hata nisitoke afu ananichamba nilimkata hilo jichoo la we haya endelea nikaondoka zangu kuingia ndani kujiandaa nilivaa zangu baibui

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments