*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Asubuhi ilifikaa niliamka nikajindaa nilivaa zangu

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*   Asubuhi ilifikaa niliamka nikajindaa nilivaa zangu

gauni langu moja kali jekundu ni zuri mnoo yani na lilijua kunikaa hapo nina artificial hair zangu kichwani utanitaka nilitokelezea nikaend kumgongea boss mlango wake "Wow you look so beautiful"alisema boss akinisifiaa nilimwangalia kwasabau nilikiwa najua kama nimependeza sifa zake hazikuwa na maana kwangu "asante" nilitabasamu kinafki alikuwa anamaliziaa kujiandaa ila, alijandaa tukatoka nje kwenda kupiga picha na mambo mengine, nilienjoy nyie kuna michezo mizuri, kuna michezo ya hatarii hatari kama puti la mto nilikuwa napiga fujo namkumbatiaa boss kwa nguvu kweli naogopa hadi wale waarabu wakaanza kunishangaa nilijisikiaa aibu ila wee kuna muda nilikuwa napiga fujo bila haya yaani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments