
atakuja tupa trust kwangu kabisaa na mwanamke akitupa trust kutoka kwako love yake kwako itaisha kabisaa. Sasa nikamwambia atulie kwanza arudishe hasira chini ndio nimweleze; Wife:Haya nimetulia Lewamo Elizah ni nani kwako? Me:Huyo simujui Mpenzi wangu ni nini kwani? Wife:Ebu chukua hii simu yako nisiipasue hapa. Nikachukua simu 📱 kuangalia kwa messages app nikapata ujumbe zake Elizah akichat na wife akifikiria ni Mimi💔. (Ujumbe za Elizah kwangu zilikuwa hivi akifikiria ni Mimi ninayechat naye ila ni mpenzi wangu aliyekuwa anachat naye) Elizah:My Beb mbona Kimya hivi amah ulijua umenipa mimba 🤰 ukanitoroka? Wife:Wewe ni nani? Elizah:Lewamo wacha mchezo unao sasa
0 Comments