JAMANI BABA WA KAMBO UNANICHUBUAπŸ’πŸ’πŸ’ Sehemu ya Saba na nane ( 07,08 )

JAMANI BABA WA KAMBO UNANICHUBUAπŸ’πŸ’πŸ’ Sehemu ya Saba na nane   ( 07,08 )

________________________________ Burudan Simulizi πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ eti mtaaluma yule atakua amepona kweli??( mwalim wa taaluma akamjibu) “aaah pale hamna kitu Sir, akiwa mzima basi ni muujiza wangu wa kwanza kuuona tangu nizaliwe” Wapendwa, simuliwa tuu hii kitu isikutokee, jamani nilichanganyikiwa kabisa, Jamani wapendwa wasomaji inauma, inauma na inaumiza, tulipanga mipango mingi sana na Sir Davis, tuliku na Malengo mengi sana, nipo nnakaribia mtihani wa mwisho napewa taarifa za kifo cha mchumba angu na mchumba ambaye nilimpenda na kumuamini kuliko mtu yoyote yule, na ndiye mtu ananielewa kuliko mtu yoyote, ni kama ndio ilikua familia yangu mpya na tegemeo langu la maisha yangu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments