
zake hazitokaa zifutike kwenye akili za watu, kulikuwa na Uchaguzi mkuu kwa wengine na wengine ilikuwa ni siku iliyopangwa kwa ajili ya maandamano, hayo siyo yangu ninayotaka niyazungumze leo...... Nakumbuka siku hiyo kama kawaida niliingia kwenye shughuli zangu ingawa mama alinionya nisitoke lakini kwa sababu niliitwa kwenye dili la hela nikaona kwanini niiache hela nzuri hivi hivi na kwa sababu asubuhi hakukuwa na jambo lolote lililotokea kulikuwa shwari tu kila mtu akiendelea na shughuli zake za kila siku, majira ya saa nne kamili hivi nilikuwa tayari mjini kwenye ofisi moja hivi kwa sababu ya shughuli ya udalali iliyonipeleka huko, kulikuwa
0 Comments