Pichani ni mshambuliaji hatari wa Al Ahly Sporting Club Wessam Abou Ali akiokoa Mpira usilete madhara katika lango la timu yake .

Pichani ni mshambuliaji hatari wa Al Ahly Sporting Club Wessam Abou Ali akiokoa Mpira usilete madhara katika lango la timu yake .

Nyota huyu alifanya kazi nzuri ambayo Bila umakini wake Inter Miami walikuwa na nafasi kubwa ya kupata bao pale Hard Rock Stadium 🏟️ mjini Miami. Wessam Abou Ali amethibitisha ile Kauli ya kwamba soka la kisasa kila mtu ni mlinzi timu yake inaposhambuliwa . In the picture is the dangerous striker of Al Ahly Sporting Club, Wessam Abou Ali, making a crucial clearance to prevent danger in his team’s goal area. The star put in a great effort, and without his alertness, Inter Miami had a big chance to score at the Hard Rock Stadium 🏟️ in Miami. Wessam Abou

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments