The goal keeper denied Al Ahly Sc a goal

The goal keeper denied Al Ahly Sc a goal

Golikipa wa Inter Miami Oscar Ustari ndiye shujaa wa Inter Miami dakika dakika 45 za kwanza pale Hard Rock dhidi ya Al Ahly baada ya kutoa michomo kadhaa ambayo ingewapa uongozi Al Ahly Sporting Club. Golikipa huyu ametoa michono kadhaa mikali na mkwaju wa penati ambao ungeipa maumivu timu yake. Inter Miami goalkeeper Oscar Ustari was the hero for Inter Miami in the first 45 minutes at Hard Rock Stadium against Al Ahly after making several crucial saves that denied Al Ahly Sporting Club the lead. The goalkeeper made a number of brilliant saves, including a penalty kick that could

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments