
Katika hatua ya kihistoria inayolenga kuunganisha bara la Afrika, Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, ametangaza mpango wa kuunda "Muungano wa Mataifa ya Afrika" (United States of Africa). Mpango huu unalenga kuunganisha Nchi zote za Afrika chini ya mfumo mmoja wa kisiasa na kiuchumi. Katika mpango wake, Rais Traoré anapendekeza: - Kuanzishwa kwa Serikali moja ya bara zima. - Utumiaji wa sarafu moja itakayojulikana kama "Afro Money". - Kutolewa kwa pasipoti moja ya Kiafrika itakayowezesha Waafrika kusafiri bila visa ndani ya bara. - Usambazaji wa rasilimali na utajiri wa Afrika kwa usawa kati ya Nchi zote, kuhakikisha hakuna Taifa linalobaki
0 Comments