REGINA(1);Habarini jamani, naomba niwasimulie na mimi kisa changu,Vivian kanikumbusha story ambayo huwa siipendi kiukweli

REGINA(1);Habarini jamani, naomba niwasimulie na mimi kisa changu,Vivian kanikumbusha story ambayo huwa siipendi kiukweli

Mimi ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu,ambapo tumezaliwa watoto wawili tu lakini kwa baba yangu tupo wengi. Mama yangu na baba hawakuoana,Mimi nililelewa na mama,baadae nikapelekwa kwa bibi,bibi yangu alikua anaishi kijijini na mama yangu alikua anaishi mjini. Baba yangu pia alikua anaishi sehem nyingine mjini lakini wote ni mkoa mmoja. Nikaanza shule,namshukuru Mungu darasani nilikua vizuri,ikifika likizo nilikua naenda kwa mama. kama mnavyojua maisha ya kijijini yalivyo,basi ninapotoka kule kwa mama alikua anahakikisha ananinunulia kila kitu Cha shule na nilikua msafi kweli,wengine walikua wakienda peku shule lakini mie nilikua naenda nimevaa viatu,begi safi,kwetu tunakunywa chai na bibi yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments