
ikitokea upande wa nyuma yangu ikisema "Jerry nani kakupa mamlaka ya kumsema mke wangu " kuangalia iv alikuw n Alberto,nikamkimbilia nikamkombatia nakuanza kulia Kwa uchungu . Kajerry kalivyo hakana haya akapiga magoti kumuomba msamaha Alberto. Alberto nae alivyo na dharau hakumsikiliza Wala Nini akatoa tu amri Jerry aaamishwe nchi . Mimi apo kiroho kwatu kuangalia iv namtafuta dada angu kumbe yeye ndo alikuw wakwanz alivyoona tu magar ya Alberto alitumua mbio izo 😂😂. Bila ata kuzingatia watu nikampa french kiss 💋💋 Alberto ,na yeye akaamzisha sasa yule hajuag ata hii sehemu hapata Kuna watu yey anahali mambo yake tuu Akaanz
0 Comments