𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢  𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda

nyumbani nikamkuta dada angu akaniwekea vitu vyote njee ,naingia ndan akaanza kunisema vibaya .eti nimemuibia Pendo mwanaume wake ambe ni wewe ,kibaya zaidi dada angu akanifukuza .😭 Robert akaniuliza kwaiyo kisa dada kakufukuza ndo unataka kuolewa nikamjibu hapan ila kaniambia maneno mabaya kwanz sitokuja kuolewa na hamna mwanaume ataetaka kunioa ,nikaamuliza Kwan wewe siunanipend . Robert akajibu ndio harakaharaka .Nikamwambia basi naomba unioe ,sasa nipo tayar Robert . Naomba unitoe kwenye hili vazi la aibu na kusimangwa na dada angu ,Naomba unioe tuu mengine yatafata baadae .Robert akaniuliza ila unanipenda nikamjibu tutapendana ndani ya ndoa .Basi Robert aka furah sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments