
ya Mungu maaan hata hakaelewi yeye mtu yoyote akitambilishwa kama mama ,anamuita mama Yan kamekuwa bila malezi ya mama yanayohitaji nilikaonea sana huruma jamna .Na nikamuhaidi Robert sasa Mimi ni mama ake na Bright na usije ukaja kumwambia mie sio mama ake tusubir adi akuwe sanaaaa .Kwasasaiv akiuliza nilikuwa wap utamwambia nilikuw hospital nachoma sindano ila ndo nimerudi Leo . Tukakubaliana pale na yeye akanipa maelekezo baadhi ya vitu ambavyo Bright huwa anavipenda na jinsi anavyopenda mtu awe kwake ,Robert aliniambia yote ayo ili Bright akiwa na Mimi afeel kama yupo na mama ake . Siku ikapita salama ,kesho yake
0 Comments