𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia

niingie ama nisiingie ,naskia simu yangu sms inaingia nilivoifgungua kusoma sms inasema mkwe ujue unatucherewesha ,kuchungulia iv chini kumbe walikuwa wananiona😂😂😂😂😂 .Maaan ile ni nyumba ya Ghorofa Yan nimekaa uko juu nikajua hawanioni kumbe naonekana daaaah aibu ilioje😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nikajikaza kikike nikaufungua mlango wa kile chumba ,nikaingia na uoga wangu wote ila sikumkuta Robert nikasema hafadhr kama kashaondoka maaan huu mitihani nilikuwa nimewa na mama mkwe nisinge uweza nikafurahi nikawa Nacheka mwenyew 😂😂😂😂. Nilikuwa nimesimama ila kuangalia uku n uku macho yanaend kwenye kitanda ,nikamuangalia alafu nikaend kukaa ,adi Raha kitanda kinanesanesa kile nikawa nimekaaa ila najinesesha nesesha Nacheka mbavu Sina

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments