𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞 SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞 SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

au yule mtu aliyekulaani kwenye comment sababu ya mafundisho yako imeanza kufanya kazi?" Yolanda alizungumza huku akimnyanyua. "Ni ujinga kuwaza hivyo, hebu niletee pochi yangu. Nilipaswa nizione siku zangu siku iliyopita sielewi ni kitu gani kinaendelea " Tasha aliongea huku akitetemeka ni muoga kwenye swala zima la mimba. "Sasa una tetemeka nini " Yolanda aliuliza huku akitafuta kipimo cha mimba kwenye pochi ya Tasha. "Kwanini unatembea na vipimo namna hii kama vile una jukumu la kupima watu huko mtaani...." "Huu si muda wa kufuatilia kuhusu hivyo vipimo, hebu niletee hiyo glass nayotumia kunywea maji...nitalimwaga humo kojo " Yolanda alitaka kuongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments