
Mimi si ni mwanae wakumzaa mbona ananifanyia iv , Yan mie naongea uku nalia yeye ananicheka adi anapiga makofi Hasira zikanipanda nikaanza kumtukan ,nakumuukiz anataka Nini kwangu . Baba akaniambia mwanangu mpendwa kwanz Mimi sio baba Ako ila Mimi ni mtu nilie muua baba Ako ukiwa na mienz miwili tangu uzalie ,oooh nimesahau na mama Ako pia nikamuua . Sasa wewe nilikulea ili uniletee manufaa kwenye biashara yangu pale tu utakapo timiza miaka 18 ,ata siku Ile niliozimia baada ya kukuomba uolewe Ile ilikuwa nitrick za kisomi tuu maaan nilijua unanipend na huwez potezea . Twende kwenye main point ,nimekuteka
0 Comments