π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman

wanawake wote heshima kwenu nikianza na mama angu jamn mamb hayaelezeki Yan unaona cjui kama tumbo linakufinyaπŸ˜‚ ,na kibaya zaidi unalia machozi hayatoki πŸ˜‚πŸ˜‚,Yan adi Robert akawa analia yeye ,Baada ya muda nikajifingua salama ila nilimwambia Robert kuwa sitak mtoto mwengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nilivyojifungua tu kesho kutwa yake nikaruhusiwa ,siku na ruhusiwa dada yangu yule alinitukanaga alikuja kujifanya kumtembelea mtoto ila nilivyomuona tu nilishtuka na nikahisi Hana Nia nzur maana Toka alivyonilaanigi na kunifukuza hakuwa niongelesha Tena Walakunitembelea ata harusi yangu hakuja ndo aje Leo kulikoni. Sasa kibaya zaidi siku iyo eti na Pendo akaja kunitembelea natena ni baada ya muda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments