
lake mwenyewe katikati ya msitu ili siku moja aje apindue ufalme na kukikalia kitu cha kifalme.... ENDELEA NAYO..... General alipanda farasi wake na kuianza safari kuelekea katika jumba la kifalme. Katika jumba la kifalme, "Mfalme jopo la mawaziri na viongozi mbalimbali limeshafika katika sehemu ya mkutano wanakusubiri wewe tu,Mlinzi mkuu nzegi alimfikishia tarifa zile mfalme" "Unajisahau sana Nzegi mlinzi wangu usisahau kama mimi ni mfalme wako salamu ni lazima" "Nisamehe mtukufu mfalme,Nzegi aliongea lakini ndani ya moyo wake alizidi kujenga chuki zidi ya mfalme wake huyo". "Aya twendeni". Mfalme alielekea sehemu ya mkutano kuongea na jopo lake la mawaziri ambapo
0 Comments