𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞 SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi 🙄" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

𝗖𝗘𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗥𝗘𝗠𝗕𝗢 𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗧𝗢𝗞 SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi 🙄" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

. "Hii nyumba nilikupatia Mimi kama zawadi ni ajabu kuona unanisurutisha nitoe taarifa kabla ya kuingia 😏" Zara aliongea kisha akajitupa kwenye kochi. "Karibu, ni kitu gani unataka ni kusaidie " "Ni maneno yapi umezungumza na Philips Kobe? nina uhakika wewe ni sababu ya kuvurugika kwake.....yaani chanzo cha mtoto wangu kunywa sumu ni wewe hapo, nakifahamu kiburi chako vizuri....naomba usinipotezee muda katika hili " "Kuvurugika kwake kumesababishwa na yeye mwenyewe, kaja hapa kuniuliza vitu ambavyo vilikuwa nje ya uwezo wangu. Sikutaka kumueleza lakini baada ya kunishikia bastola nimejikuta ni kizungumza kila kitu. "Kila kitu?....umesema kila kitu eeeh ni udhaifu wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments