
"Amepatwa na nini ?" Aliuliza Elian " Amepata ajari " alijibu dactari mmoja " Amepata ajari gani mbona yupo hivi ?" Aliuliza Elian huku ameshika mkono wa Winnie " Unaundugu na mgonjwa mbona unauliza maswali mengi tunaomba utupishe tumpeleke ndani akafanyiwe huduma laa sivyo atapoteza mtoto wake " madactari walimuingiza Winnie ndani na muda huo riffat alifika na gari lake " Riffat " aliita Elian lakini riffat hakumsikiliza aliingia ndani ya hospital kujaza taarifa za mgonjwa Elian alimfuata nyuma " Unajua ana mimba ya miezi mingapi ?" Dactari mmoja alimuuliza riffat " Ndiyo ni miezi mitatu Sasa kama na week
0 Comments