1--2 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI 💔💔

1--2 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION  YA MAPENZI 💔💔

HURU MEDIA SEHEMU : 1 Katika jumba moja kubwa la kifahari alionekana binti mmoja mrembo sana akiwa anakatia maua kwenye bustani. Iliyojaa maua mazuri na ya kupendeza na uso wakeulipambwa na tabasamu pana " Madam Gabriella unaweza kuumia acha hiyo kazi anaweza kufanya kigo hiyo ndo kazi yake inayofanya analipwa kwenye hii nyumba" aliongea mfanyakazi mmoja akionyesha kuwa na wasiwasi sana "Zena acheni kuwa hivyo bhana nani kawaambi Mimi nimeumbwa na glass kwamba kitu kidogo tu nitavunjika acheni hizo basi " aliongea Gabriella huku anatabasamu " Lakini madam utatupa wakati mgumu endapo ukiumia unamjua vizuri mume wako Mr Tristan alivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments