
Baada ya nusu saa Ray na Nasma walikuwa kwenye basi la ARUSHA TO TANGA, Nasma alikuwa ameketi pembeni mwa jamaa ambapo jamaa alikuwa ameichomeka simu chaji kwenye basi hilo, akiwa ameishikilia huku akipiga hesabu kwenye kikokotoo cha simu Alimaliza akamtazama binti kisha akatabasamu halafu binti naye akatabasamu “HUOGOPI?” binti aliuliza “Niogope nini?” aliuliza “Mama yako” “Mh mimi mtu mzima, kiukweli nahisi nakupenda sana hadi nimeshuka kwenye gari daaah nikakufuata wewe” alisema mtaalamu “Jamani” “Usiseme jamani…..sikiliza hapa napiga hesabu ninatakiwa nikatumie laki tano na wewe leo eti, yaani pale nyumbani si walikuwa wanatuzuia?” alisema jamaa, binti akatikisa kichwa kwa hisia halafu
0 Comments