CEO NISAMEHE SIRUDII TENA🍎 SEHEMU YA TANO*

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA🍎  SEHEMU YA TANO*

Nyumbani mama alianza kusumbua, ikabidi waanze kupiga simu, Naseer alinipa nipokee, mda huo tuko chumbani watatu, Najma alikuwa kafura, haelewi elewi, akapelekwa sebleni, ikichumba kilikuwa kikubwa kina sebule pia, afu tukabaki wawili sasa nilianza kulia nakumuomba anisamee, sitarudia tena, Naseer nakuapia naomba unisamehe sirudii tena, naomba uniruhusu niende plz, Naseer alikuwa zake tu kimya anatabasamu ata hajibu.... Akaanza kunisogelea apo simu yangu inaita mfululizo, Naseer alipokea, akanilazimisha kuongea nayo, sikuwa na nguvu za kuongea nilikuwa nalia tu,nilimsalimia mama uku nalia, nikamuomba mama anisaidie kuomba msamaha kwa Naseer aniachie asinifanye chochote sitarudia, mama aliniuliza kwani umemfanyaje? Ilibidi nimwambie mama ukweli ili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments