π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA 8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia

π—‘π—œπ—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π— π—£π—” π— π—”π—™π—œπ—” 𝗕𝗒𝗦𝗦 π—•π—œπ—žπ—₯𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—¨ SEHEMU YA  8 Nilivyoweza tu nikajisahsu nikamfata Alberto nikamkombatia

Kwa nguvu ,nashaa namuangalia ,mtu kapigwa na butwa nikajua labda nimuumiza kumbe alikuw anasikilizia jotoπŸ˜‚. Baadae tukatoka apo mume ananiambia mke wangu twende bafuni kuoga Mimi. nilivomuoga nikamwambia we kaoge Mimi ntaenda ntaend nyumbani haina shida . Nilivyomwambia ivo Alberto akasema kwaiyo huniamini ww si nilikwambia hata ufanye Nini cwez kukushika bila ridhaa yako apo kidogo nikatulia Alberto akavua shat yake ya juu Kisha akafungua maji bafuni. Upande wangu sasa nikawa najifikiria Alberto akageukia wee vp mbona huvui nikamwambia naogopa vp kama nikivua alafu ukaona Kam nina umbo labda baya au cjakufurahisha Kwa nilivyo au umezoea wanawake wazur kuliko Mimi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments