
aka furah mwenyew Kisha ,akamwambia mwanae Aya ngoja nikalale chumbani Kwa mjukuuu wangu . Alafu safari hii ume ndan hatutaki makelele kufanya mnafanya nyie karaahaa muwape wengine inahusu . Yan hatutaki makelele kabisa ,maaan sipati picha kelele mlizopiga mara ya kwanz kama hamjui umu ndan Kuna mtoto vile . Robert akamwambia mama hatukupiga kelele na najua kama Kuna mtoto ndo maaan tukaenda chumba kile cha mbali ilo tusiskike.Alafu mama sasa apo unalala Nini Yan sasa iv ni saa kumi na mbili kasoro asubuhi tayr . Mama akamjibu ,haya yote umeyataka wewe Yan sasaiv ningekuwa zangu kwangu nimepumzika zangu . Ila
0 Comments