
Kwa mujibu wa historia ya dunia Cleopatra ndiye mwanamke mrembo zaidi kuwahi tokea duniani,Na sio tuu urembo huyu hakuwa na kasoro yeyote kuanzia utosi wa kichwa hadi unyayo wa miguu.Na kutokana na hilo watawala wengi wa dunia wa zama hizo walimsogezea mali za thamani miguuni pake ,Na wanasema alikuwa na IQ ya zaidi ya 140 yani huyu alipewa vyote urembo na akili.Ni mwanamke aliyekamilika zaidi kuwahi tokea duniani Naaam
Soma zaidi
0 Comments