
_Tulipo ishia_ π alikuwa anaangahika kulitoa tu kwa nje ya suruali. *Endelea nayo* π "Japhet naomba unitimizie mwenzio nna hali mbaya hapa nilipo, na ukikataa nitapiga makelele kwa majirani kuwa unataka kunibaka" alisema Rozi kwa sauti ndogo iliyopoa lakini ikiwa na msisitizo. Japhet alibakia ameduwaa asiamini kabisa hiki anachokisema Rozi hapa!. ************** "Japhet naomba unitimizie mwenzio nna hali mbaya hapa nilipo, na ukikataa nitapiga makelele kwa majirani kuwa unataka kunibaka" alisema Rozi kwa sauti ndogo iliyopoa lakini ikiwa na msisitizo. Japhet alibakia ameduwaa asiamini kabisa hiki anachokisema Rozi hapa. "Lakini kwanini unanifanyia hivi Rozi, nimekuambia sina hisia kabisa na hicho
0 Comments