SIMULIZI: AIBU NDANI YA DANHEKI

SIMULIZI: AIBU NDANI YA DANHEKI

Mtunzi: Lipeta s Shaaban Katika mji wa Mugoroka, usafiri wa DANHEKI ulijulikana sana kwa kelele, mizaha na hadithi zisizoisha. Ndani ya basi hili la rangi ya njano lililokuwa limechakaa kidogo lakini lina roho ya watu wa kawaida, kila abiria alikuwa na mchango wake – wengine kwa stori, wengine kwa kelele, na wengine kwa kuvunja mbavu kwa vicheko. Siku moja ya Jumatano, jua likiwa kali kana kwamba limetumwa na shetani mwenyewe, mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mama Nkamia alikwea basi la DANHEKI. Alijulikana mjini kwa mavazi yake ya gharama na mdomo wake usiotaka kushindwa – yaani alikuwa anafoka kama redio

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments