
kaka Upande wa mama alikuwa ananitafuta kwa sababu kuna wadada wamekuja wakidai ni rafiki zangu, ila ni dem zangu, yeye hakujua akaamini, alivyowakuta nyumbani, akaanza kumlalamikia mama, ukute hawa ndio wamemfundisha Thuraya, huu ufedhuri, mama alimtoa pembeni kaka Raheem, akamuomba atulie, vipi kama sio waliomfundisha, si tutakuwa tumejiaibisha, kaka alivyosikia hivyo kidogo hasira zikashuka uku wadada ni wanatetemeka mno, kila mtu anahofu, ilibidi tu waage nakuondoka, mchumba wa kaka alikuwa anahangaika kumtafuta kaka angalau asamehewe ili apate mwanya mzuri wakuwa na mimi... Lakini kaka akawa hapokei simu kabisa, alivyoona simu zimezidi akawa amemblock mchumba wake, mchumba kuona hivyo akataka kujua
0 Comments