
Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU "Uko sawa?" Aliuliza Shalha akimshika Bieber mkono na kumtoa ili atizame shavu lake. "Kama umeanza kuvimba hivi" alijisemesha Shalha na kuanza kumpuliza shavuni mwake. Usijali utakuwa salama. Bieber aliondoka na kuelekea uwani, alipofika alisimama kwenye kioo na kubaki akijikagua shavuni mwake. Kibao cha Nanah kilizidi kujirudia kwenye ufahamu wake wa akili. 👠👠👠👠👠👠👠👠👠👠 "Huyo Hawara wako kampiga Bieber kibao". "Hawara wangu ndo nani?" Aliuliza Brown na ghafla alitoa macho yake. "Umesema Bieber
0 Comments