*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣2️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA  1️⃣2️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Shalha alielekea moja kwa moja hadi ndani ofisini kwa Brown ambaye alishavurugwa kivyake. "Brown, siwezi kuvumilia dharau hizi anazo nionyesha mdogo wako". Brown aligeuka na kumtizama. "Mama alisema mimi ndo ni design kwaajili ya hii events inayokuja, ila sasa mdogo wako amempa kazi hiyo Nanah na anasema yeye ndo mkuu wa kitengo pale" Brown alibaki akiwa anamtizama tu. "Brown , naongea na wewe". "Shalha Mpigie simu mama mwambie Bieber amekunyang'anya alichosema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments