
" Max fanya haraka urudi mke wako ameondoka siku ya pili leo kamtelekeza mtoto hapa nyumbani kwangu. Ilikuwa ni sauti ya Irene dada wa Max, hizo taarifa zilimshitua Max lakini hakutaka kuamini kama mke wake anaweza kumfanyia hivyo binti yao . " Haiwezekani Hilda hawezi kumtelekeza shalon. " Ndio nakwambia fanya haraka urudi maana kasema hana uhusiano na nyie tena yani amewaacha na maisha yenu nae kaenda kutafuta maisha yake mengine. max kwanza hakuamini kama mke wake anaweza kufanya kitendo cha ajabu cha kumuacha binti yao mdogo na kwenda kusikojulikana tena ukiwa max hayupo alikuwa safarini nchini sweden. Max alipokataa
0 Comments