*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣3️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA  1️⃣3️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Alitoka na kurudi muda ule ule. Nanah!! Aliita kwa tabasamu pana na kuzama ndani ya ofisi ya Bieber. "Ooohh!!! Kumbe unakula? Sikukuona sehemu ya kula nikahisi tu utakuwa hujala so nikakubebea chakula". "Asante' alijibu Nanah akimuonyeshea ya kuwa anakitu mkononi mwake chakula. "Basi itabidi ule vitu vyote rafiki yangu, au Mr Handsome unasemaje?" Aliuliza Bob Risky huku akimchekea Bieber. "Ni sawa maana hata hayo ma apple anayokula siyo chakula chamaana". Alijibu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments