
msaidizi wake alimuuliza 'dokta vipi mbona kama umezubaa??,. Kuna dawa tumeisahau, hebu nenda famacy uilete haraka, sasa alibaki peke yake akaona ni muda pekee wa kuikata kiu yake, lakini kabla hajaanza kutimiza azma yake, mlango wa theatre ulifunguliwa. Mery alisonya kwa ghadhabu "aaaa shiit ".mery nini tena 'mganga mkuu aliuliza,, ' hapana bosi, kuna mtu nimemwagiza dawa sasa naona anachelewa ukizingatia mgonjwa tumeshampasua, hiyo dawa umemwagiza wapi?, chumba cha dawa mkuu. Kwa nini uanze upasuaji kabla hujakamilisha vifaa vyote, yule kijana aliingia akishika dawa mkononi, Mery alichukia kweli kwa mpango wake kutibuliwa. Mganga mkuu akamwambia " nilikua na shida ya
0 Comments