
FULL STORY (VIPANDE 50) TSH1000 TU! WHATSAPP 👉 0675137453 Shangazi alinikata jicho na mimi kisha akatupita akiondoka zake kuelekea chumbani bila hata kuitikia salamu ya Yusta ambae nae alinigeukia mimi kwa mshangao, "Bonny mbona shangazi yako hajaniitikia salamu yangu na anaonekana kama amekasirika hivi, kwani nimemkosea nini?" "Mh umkosee nini wakati wewe ni mgeni hapa ndo kwanza leo umekanyaga, kuna mambo hayajakaa sawa kati yake na mmewe yaani mjomba wangu, ndiyo hayo yanayomtibua na siyo wewe tu, wote humu ndani leo tumenuniwa, si mimi si dada wa kazi" ilibidi nizuge, ila nilishamwelewa shangazi Magge hakupenda uwepo wa msichana huyo, nadhani
0 Comments