LIBWATA YA MAMA RASHIDI...03

LIBWATA YA MAMA RASHIDI...03

ENDELEA........ "Nisamehe Baba, bahati mbaya tu!" "Emu toka hapa!" Rashidi alichomoka na kukimbilia chumbani kwake na baada tu ya yeye kutoka Mama Rashidi alisogea kwenye friji na kuchukua maji yaliyokuwa kwenye glasi bira kujua kama Rashidi aliyanywa na kuweka mengine. "Mme wangu kunywa maji kwanza!" "Umejuaje kama na kiu mke wangu!" "Miaka yote hiyo ya ndoa yetu nishindwe kukujua vizuri mme wangu!?" "Khekhekhekhekhekhe!" Baba Rashidi alikenua meno na kuchukua maji na kuyanywa na Mama Rashidi alichekelea moyoni na kuona kazi tayari imeshakamilika. Alipomaliza kunywa maji aliiweka glasi kwenye meza na kukaa kwenye kochi na mda huo huo simu yake iliita

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments