
SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥07 Dada baada ya kuniambia nikamuite mtoto aje tule nilielekea chumbani kwa mtoto nilipofika kwenye kordo nilikutana na shem aka🙄🙄 Alinivuta nikajikuta natua kifu ani pake akaanza kuni🙈🙈Niliogopa nikamuambia inatosha dogo atatukuta hapa😩 Alinijibu hawezi huku akiwa kanikumbatia vizuri acha tuu nilijivuta na kutoka nikakimbia akabaki anatabasam tuu Mimi pia nilikuwa nafuraha mno nikafika chumbani kwa Valentino nikamuita akaniambia Ingia mamdogo nikaingia nilimkuta kakaa mezani kwake kama kawaida yake anajisomea Nikamtania nakuona rais ajae Alicheka na kuniambia sawa mamdogo Nikamuambia haya pumzika kidogo twende tukale Akaniuliza kapika nani Nilimjibu kapika mamaako Alijibu ooh kwanini usingepika wewe ila poa
0 Comments