SIKUJUA LECTURER NI MJEDA* *_________________________________* *SEHEMU YA SITA*

SIKUJUA LECTURER NI MJEDA* *_________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

" Ulazima upo, ulitaka upige kelele pale barabaran, unilaani mpaka siku nikutaka kuja kutoa posa nikataliwe, mke anaonekanaga mara moja tu, ukijichanganya na akaondoka huwezi kumpata tena , unataka nipishane na mama watoto wangu si ndio, mimi sio mwanaum mpumbavu na najua ninachokifanya mke wangu mzuri mzuri, ndio maana nilikuja kupunguza heka heka ambazo huenda zinge nigharimu baadae mamaa, kama unanichukia wewe nichukie tu, ila nina uhakika kuwa siku moja utakuja kunipenda tena kwa moyo wako wote maana kama ambavyo wewe ni mwanamke bora sana kwangu, na mimi ni mume bora sana kwako, ukifungua macho kwa makini nina uhakika utaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments