SIMULIZI: NYAYO ZA MAMA Sehemu ya 2: “

SIMULIZI: NYAYO ZA MAMA  Sehemu ya 2: “

📘 MIMI SI MTOTO WA KUOLEWA KWA AHADI” Mtunzi: Lipeta S Shaaban --- Siku zilikuwa zikisonga, na Namwaka alikuwa amefikia darasa la saba. Alikuwa mwerevu, mnyenyekevu, lakini mwenye ndoto kubwa kuliko kijiji chao. Wakati mwingine watu walimwita “Rais wa kijiji” kwa mzaha, lakini alipojibu kwa tabasamu la ujasiri, walijua huyu binti si wa mchezo. Lakini changamoto kubwa ilikuja baada ya matokeo ya darasa la saba kutangazwa. Alifaulu kwa alama za juu — lakini hakukuwa na hela ya kuendelea na shule ya sekondari. Baba yake, aliyekuwa mvuvi wa dhiki, aliketi kimya siku hiyo. Akatazama bahari kwa muda mrefu, kisha akasema: >

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments