
Alikuwa kama kachanganyikiwa hivi alinisogelea ila kabla hajanifikia, koku akaanza kuita, alitoka nje halaka kama upepo, ndo namimi nikashtuka huyo, hata sikumwambia koku niliigiza niko sawa kabisa,tukaachana kwenda kwenye pilikapilika zetu... Upande wa darian, moja haikai mbili haikai, alikuwa kachanganyikiwa sio kawaida, "kwa nini huyu binti nashindwa kujizuia juu yake kwanini ðŸ˜, sitakiwi kupenda, sitakiwi kuleta ukalibu na wanawake nitakuwa dhaifu, kuanzia leo sitamkalibia, natakiwa kuwa makini sana, alijiwazia na kujiaminisha ataweza kukaa mbali na manka, binti aliefanya ajihisi tofauti kwa mala ya kwanza, na kufanya kitu yake isimame imara kuliko siku zote toka azaliwe... Aliamua kuludiaha akili yake kwa
0 Comments